Posts

Asante Magufuli kwa kazi nzuri!!!!

Kazi nzuri Makonda. Kwa mijibu wa RC Paul C. Makonda, Wilson Kabwe alisainisha mikataba miwili kwa wamiliki wa mabasi kwa sheria mbili tofauti (ya mwaka 2004 na 2006). ByLaw ya 2004 inataka bus likitoka Ubungo lilipe Sh.4,000/= na ya 2006 inataka bus lilipe Sh.800/=. Wamiliki wa mabasi walisainishwa kulipa 8000/= lakini jiji likarekodi kuwa wanalipa Sh.4000/=. Maana yake ni kuwa kila bus lilikua likilipa Sh.8,000/=, lakini zilizokua zikiingia Halmashauri ya jiji ni Sh.4000/= tu. Nyingine ziliingia mfukoni kwa Kabwe. Kwahiyo katika magari 400 yanayotoka Ubungo kwa siku Kabwe alikua anaingiza 1,600,000/= kila siku mfukoni mwake. Hizi ni sawa na Milioni 48 kwa mwezi. Sawa na milioni 576 kwa mwaka. Hii ni moja ya tuhuma kadhaa alizozieleza Makonda. Kwa kifupi Kabwe ni mpiga dili. Hata kule Mwanza alipiga dili nyingi akawa analindwa na "mkwere".. Kupitia dili hizo alijenga vitega uchumi kadhaa ikiwemo "Royal Sunset Beach" kule Luchelele. Hebu jiuli...

Balaza la mawaziri limetangazwa

Habari wakuu Magufuli: Tutakuwa na mawaziri 19, kuna baadhi ya wizara zitakuwa na mawaziri na hazitakuwa na manaibu waziri. Lengo ni kuwa na baraza dogo kupunguza gharama. Zilitengwa bilioni 2, mawaziri watakapoteuliwa waende semina elezi, baraza nitakaloliteua halitakuwa na semina elekezi na fedha tutaelekeza sehemu nyingine kama ni madawati au kwenye elimu bure. Ofisi ya Rais, Tamesemi utumishi na utawala bora, Simbachawene na Kairuki, Naibu waziri Jaffo Mazingira: Makamba, naibu Makamba Ajira, walemavu: Jenista Mhagama, Naibu nimemtua mbunge, Pos Abdallah ambae ni mhadhiri Dodoma Ulemavu: Mavunde Kilimo, mifugo na uvuvi: Mwigulu Lameck Nchemba, Nashe naibu Ujenzi, uchukuzi na mawasiliano: Waziri bado sijamtafuta, naendelea kumfikiria, Naibu waziri Ngonyani. Fedha na mipango: Waziri bado, naibu Kijachi Nishati na madini: Waziri ni Muhongo, Naibu Katiba na sheria: Waziri Mwakyembe Mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki: Augustino Mahiga nmemteua mbunge n...

Je!!!!!! unapenda kufahamu SANDUKU LA AGANO LIKO WAPI?????????

Image
SANDUKU LA AGANO LIKO WAPI? Huu ni mfano wa sanduku la agano ambalo wana wa Israel waliambiwa watengeneze na Mussa wakiwa nyikani wakitoka Egypt ( Misri ) wakielekea promised land ( Nchi ya ahadi ). Sanduku hilo lilikuwa ni kama box la mbao lililotengenezwa na aina moja ya mbao inayoitwa ( acacia wood ) iliyofunikwa na dhahabu. Lilikuwa la urefu wa 1.15 metres, upana wa 0.7 metres na kimo cha 0.7 metres. Ilikuwa inabebwa na mishikio miwili mirefu ambayo ilikuwa imetengenezwa kwa mbao hiyo ya acasia ambazo pia zilikuwa zimefunikwa na dhahabu. Juu ya sanduku kuliwekwa makerubi wawili waliokuwa wamegeukiana mabawa yao yakiwa yamegusana. Uwepo wa Mungu haukuwepo ndani ya sanduku bali ulikuwa juu yake katikati ya hao makerubi. Uwepo wa Mungu juu ya sanduku hilo ulikuwa kama nuru. Kuhani mkuu alipaswa kufunika macho asiione nuru hiyo (" hakuna mwanadamu anionaye na akaishi" Kutoka 33 : 20) kila alipokuwa akiingia lilipokuwa sanduku ambapo ni patakatifu pa patakatif...

je umehitimu mafunzo ya udereva ngazi yeyote na una cheti??????basi usichelewe tembelea link hii na upate kazi papo hapo.

http://www.brightermonday.co.tz/jobs/dereva-daraja-la-ii-nafasi-40

Je umamaliza chuo na unahitaji kazi????????basi tembelea link hapo chini na utume maombi bila kukosa!!!!!!!!!!!!

http://www.brightermonday.co.tz/jobs/opereta-wa-kompyuta-msaidizi-nafasi-6

Kwa waliohitimu vyuo mbalili nchini pata kazi mbalimbali kulingana na taaaluma yako hapa usichelewe

http://kazibongo.blogspot.com/2014/11/jobs-at-viettel-construction-tanzania.html
http://mwanahalisionline.com/jenerali-atishia-vita-burundi/
http://mwanahalisionline.com/familia-ya-kikwete-yaumbuka/

UNICEF, watoa scholarships ya masters ya MBA online

http://www.unicaf.org/UNIC/Tanzania&utm_source=facebook&utm_medium=cpc&utm_campaign=FBCPM-UNIC-Tanzania-Generic-MBA
Image
Flova anasema malengo yake ni kufanya kazi ya mziki kimataifa, na mziki kuwa katika hali ya kibiashara zaidi. anaomba sapoti toka kwa mashabiki wake wa ndani na nje ya nchi,ingali akiwa bado msanii mchanga lakini Mkoani Njombe aonekana kukonga mioyo ya mashabiki mpaka kufananishwa na mwanamziki wa nchini Marekani ajulikanae kama Neyo kutoka uimbaji hadi mavazi.

Msanii chipukizi wa mziki wa kizazi kipya mkoani Njombe ajulikanae kama Flova aeleza malengo yake kimziki.

Image