Posts

Showing posts from March 11, 2017

Sifa 13 za maajabu ya tembo

Image
1. Tembo pamoja na ukubwa wake akitembea hana kishindo kabisa miguu yake kwa chini ni kama ina sponge hivi. 2. Tembo anaukubwa wa tani 7 3. Tembo jike hubeba mimba miezi 24 au miaka 2 4. Tembo mtoto huzaliwa akiwa na kilo 80 5. Chakula cha tembo kwa siku ni kilo 300 na maji lita 40     6. Ni moja kati ya wanyama ambao hawapendi kelele 7. Umri wake wa kuishi ni miaka 60 8. Uume wa tembo una kilo 27, ukimuona wakati anafanya mapenzi kwa nyuma unaweza kuhisi  ana miguu mitatu. 9. Tembo ana fanya mapenzi kwa masaa 12; masaa 6 ya mwanzo anamuandaa mwenzi wake na 6  yanayobaki ndio shughuli yenyewe na hiyo ni ile raundi ya kwanza. 10. Tembo dume huwa na wanawake wawili mpaka wanne 11. Akipiga bao tembo dume manii zake ni ujazo wa lita tano 12. Tembo anategemea sana uwezo wake wa kunusa ili kuweza kutambua mazingira aliyopo na vitu vinavyomzunguka. Sambamba na harufu, tembo pia ana uwezo mkubwa wa kusikia kupitia masikio yake makubwa (by t...