Asante Magufuli kwa kazi nzuri!!!!
Kazi nzuri Makonda. Kwa mijibu wa RC Paul C. Makonda, Wilson Kabwe alisainisha mikataba miwili kwa wamiliki wa mabasi kwa sheria mbili tofauti (ya mwaka 2004 na 2006). ByLaw ya 2004 inataka bus likitoka Ubungo lilipe Sh.4,000/= na ya 2006 inataka bus lilipe Sh.800/=. Wamiliki wa mabasi walisainishwa kulipa 8000/= lakini jiji likarekodi kuwa wanalipa Sh.4000/=. Maana yake ni kuwa kila bus lilikua likilipa Sh.8,000/=, lakini zilizokua zikiingia Halmashauri ya jiji ni Sh.4000/= tu. Nyingine ziliingia mfukoni kwa Kabwe. Kwahiyo katika magari 400 yanayotoka Ubungo kwa siku Kabwe alikua anaingiza 1,600,000/= kila siku mfukoni mwake. Hizi ni sawa na Milioni 48 kwa mwezi. Sawa na milioni 576 kwa mwaka. Hii ni moja ya tuhuma kadhaa alizozieleza Makonda. Kwa kifupi Kabwe ni mpiga dili. Hata kule Mwanza alipiga dili nyingi akawa analindwa na "mkwere".. Kupitia dili hizo alijenga vitega uchumi kadhaa ikiwemo "Royal Sunset Beach" kule Luchelele. Hebu jiuli...