Posts

Showing posts from April 24, 2016

Ndio maana waoaji miaka hii ni wachahe!!!!!hizi ni sababu tosha ebu soma hapa kama umejipanga kuoa.

1. Kujitambulisha Ukweni. Hapo Utatakiwa Uende Kijijini Alikozaliwa Mkeo Mtarajiwa Ukajitambulishe Huko. Kama Mfano Mkeo Anatokea Mwanza, Na Mnaishi Dar, Andaa Nauli Ya Watu Wawili, Malazi Kwa Siku Mbili, Na Utagharamia Shuhuli Hiyo Ya Utambulisho. We Tenga 500,000. Hapo Tuna Assume Mkeo Atajitegemea. Otherwise 800,000 Itakutoka. 2. Kumtambulisha Mkeo Kwenu. Kama Nyie Nyumbani Ni Arusha, Utatakiwa Umpeleke Huko Ngarenanyuki. Sio Umlete Hapo Tabata Mlipopanga. Hapo Sio Kwenu! Andaa Nauli Yako Na Atakaekusindikiza, Nauli Ya Binti Na Mwenzie, Na Gharama Za Vinywaji Na Chakula Siku Hiyo. Utahitaji Kama 700,000 3. Kifuatacho Itv Ni Kuwaalika Wakwe Zako Nyumbani. Uwatoe Watu Kama Nane Mwanza, Uwalete Arusha. Wale, Walale, Wajisaidie, Kwa Gharama Zako. We Acha Ubishi, Tenga 800,000 Tu. 4. Kwani We Wazazi Wako Wanajua Unakooa? Sasa Je? Wasafirishe Kwenda Mwanza! Watu Watano. Utahitaji Kuwa Na 500,000. Beba Pia Atm Card Yako, Kuna Imejensi. 5. Mahari Ndio Topic Inayofuata Sasa. Ukiwa Mjanja...